Turejeshe Usawa katika Ajira ya Umma; Turudi kwenye Mfumo wa Ugavi kwa Wote!

Hapa kuna wahitimu wawili; wa Kwanza alihitimu miaka 10 iliyopita, anahangaika duniani ni kama Kaini wa Biblia aliyemuua nduguye Abeli, ingawa adhabu ya huyu muhitimu imechangiwa na ufisadi kutokana na mpangilio potovu wa ajira. Haya, Kuna wa pili ambaye alihitimu mwaka mmoja uliopita na tayari ameingizwa katika huduma ya Umma, cheti chake sawa na wa […]

Hatuna Mwingine Kama Askofu Ndingi Na Gitari: Hawa wa Leo wanaongozwa na Roho Mtaka Kitu!

Marehemu Askofu Mkuu Raphael Nding’i Mwana Nzeki wa Kanisa Katoliki na Marehemu Askofu David Gitari wa Kanisa la kianglikana watakumbukwa kama makasisi wa Ujasiri mno.  Walisimama Kidete na kupinga utawala wa kidhalimu wa Rais Moi. Askofu Ndingi alikua mtu wa Kimo kidogo, ungemtania kama mtu mnyonge ambaye angetishwa na kunyamazishwa, lakini shujaa alitetea haki ya […]

Kwa Nini Mahasla Wamekugeuka Ruto!

Mheshimiwa Rais, uliposhika hatamu ya uongozi uliinua matumaini kwa wanyonge maarufu kama ‘Mama Mboga na Watu wa Boda Boda’. Kwa ahadi yako, wengi walijitokeza wakaanzisha biashara wakitarajia serikali yako ingewawezesha kusonga mbele, wengi walitarajia uzinduzi wa njia mkopo ili waweze kuinia biashara zao kama ulivyowaahidi. Lakini  kwa sababu zisizoeleweka  ahadi yako ililoa kwa mafuriko tuliyoshuudia […]

Ruto; Why Your Hustlers Turned Agaisnt You!

Mr. President, you took office promising so much hope for hustlers, aka mama mboga and watu wa boda boda. Many stepped out to set up their hustles, hoping your government would ‘boost’ their businesses. Unfortunately, it hasn’t happened. Some hustlers have kept their foot on the ground, but government enforcement officers have let you down. […]

error

Enjoy this blog? Please spread the word :)